Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

 Kutoka kwa mwanablog mwenzangu wa Jamii forum, nilikutana na hii...

Na wanaume hawapendi wanawake wa aina gani?

Siku nyingi huwa nasikia malalamiko mengi kwa wadada wakisema mwanaume akiwa hivi au vile simtaki.

Haya na sisi wanaume tutoe list zetu kuhusu wanawake ambao hututaki tuhusike nao kiurafiki.

Za kwangu:

Mwanamke asiyejua kupika.
Mwanamke asiyekusalimu
Anayependa kujionyesha anajua zaidi kuliko wewe
Anayefanya makosa lakini hakubali makosa yake
Anayetaka ufanane na bwana fulani.

  

0 comments:

Post a Comment