5 Millions Up for Grabs-Few Hours Left

Yamebaki masaa machache sana apatikane Mama Shujaa wa Chakula Mtandaoni - Mpendekeze sasa..!!
Kama unamfahamu mkulima yeyote mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa miaka 18 na zaidi, anayelima mazao ya chakula, huu ni wakati wako sasa wa kumpa zawadi ya kufungia mwaka.


Kampeni ya Grow inayoendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam kupitia balozi wake Shamim Mwasha (Blogger 8020fashions) inatoa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 pamoja na nafasi ya ushiriki katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2013 litakalofanyika sambamba na Maisha Plus.

Mpendekeze ashinde sasa kwa kubofya hapa na kujaza nafasi zotesurveymonkey.com/s/growtanzania


Kumbuka; leo ni siku ya mwisho ya kupokea mapendekezo. Usiache nafasi hii ikupite.


Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake. Inalipa.


xoxo

Missie Popular

0 comments:

Post a Comment