5Million Shillings Waiting for Her

Tshs. Milioni 5 Kushindaniwa

Kama unamfahamu mkulima yeyote mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa miaka 18 na zaidi, anayelima mazao ya chakula, huu ni wakati wako sasa wa kumpa zawadi ya kufungia mwaka

Kampeni ya Grow inayoendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam kupitia balozi wake Shamim Mwasha (Blogger 8020fashions) inatoa zawadi ya vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 pamoja na nafasi ya ushiriki katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2013 litakalofanyika sambamba na Maisha Plus.

Mpendekeze ashinde sasa kwa kubofya hapa na kujaza nafasi zote 

-->  surveymonkey.com/s/growtanzania.


Zimebaki siku MBILI tu kabla ya shindano kufungwa. Usikubali nafasi hii ikupite.

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment