KISUKARI (DIABETES CAMPAIGN) JUA AFYA YAKO

Tuesday, November 26, 2013 Missie Popular 0 Comments

Screen Shot 2013-11-25 at 6.40.09 AMMwezi Novemba ni mwezi wa ugonjwa wa Kisukari ( diabetes) Kwa mujibu wa kalenda ya afya , Kwa kuzingatia Hilo hospitali ya Doctors plaza (MOROCO BRANCH ) ikishirikiana na Lancet Laboratories tuna punguzo la vipimo kwa wataopenda kufanya check up ya ugonjwa wa kisukari. Kuanzia Novemba 30 hadi Desemba 7

xoxo
Missie Popular

You Might Also Like