Flaviana Matata Foundation "Back to School" Project Takes Off

 
MRADI WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION WA BACK TO SCHOOL PROJECT ILIOFADHILIWA NA MFUKO WA PENSHENI PSPF ILIYOMALIZIKA WIKI ILIYOPITA IVYOENDA ALIANZIA KISARAWE KATIKA SHULE YA MSINGI YA CHANZIGE B NA KISHA SHULE YA MSINGI YA KIMANZICHANA ILIYOPO WILAYA YA MKURANGA NA SHULE YA MSINGI MSINUNE ILIYOKO WILAYA YA BAGAMOYO
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000 KWA KUANZIA KUNA VINGINE VITAPELEKWA MIKOANI, TUTAENDELEA KUHABARISHANA HAPAHAPA, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU, NDIO MAANA TUNAKARIBISHA WADAU TUFAUTI TOFAUTI, KUHAKIKISHA WANAFUNZI HAWA WANAFIKIA MALENGO NA KULETA MABADILIKO KATIKA TAIFA Flavian matata foundation-kisarawe (21 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (13 of 152)
HAPA ILIKUWA KWA AFISA ELIMU WA WILAYA YA KISARAWEFlavian matata foundation-kisarawe (17 of 152)
HAWA KIKEKE AFISA MAWASILIANO KUTOKA PSPF AKIFAFANUA JAMBOFlavian matata foundation-kisarawe (19 of 152)
ITIFAKI ILIZINGATIWA KILA ALIKOPITA ILIBIDI ASAINI DAFTARI ILI KUTAMBUA UWEPO WAKE
Flavian matata foundation-kisarawe (28 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (33 of 152) AHSANTE KWA KUTUPOKEAFlavian matata foundation-kisarawe (34 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (39 of 152) MENEJA WA KANDA YA PWANI NAE ALIPATA FURSA YA KUMPA ZAWADI YA MWAKA MPYA Flavian matata foundation-kisarawe (40 of 152)   TUKAFIKA CHANZIGE B SHULE YA MSINGI ILIYOPO WILAYA YA KISARAWE Flavian matata foundation-kisarawe (52 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (53 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (59 of 152)   SAMBAMBA NA MKUU WASHULE YA MSINGI CHANZIGE B ISAAC ELIAH, ALIFURAHISHWA NA UJIO HUU SABABU ANAMTAMBUA NA ANAMFUATILIA FLAVIANA MATATA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA UANAMITINDO   Flavian matata foundation-kisarawe (61 of 152) WALIMU WA CHANZIGE BFlavian matata foundation-kisarawe (64 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (72 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (75 of 152)   ALIKARIBISHWA NA JIVING YA NGUVU AKAKUMBUKIA ENZI ZAKEE Flavian matata foundation-kisarawe (86 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (91 of 152) KIKAZI ZAIDI Flavian matata foundation-kisarawe (82 of 152) TEEEPE TEEPPEEE, IYAMBA NA KUSELELAA TEEPE TEPEE SEEELLAAA...ndo nilichokuwa nasikia hapo Midundo makofi na mshindo wa miguu yao Flavian matata foundation-kisarawe (103 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (105 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (110 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (118 of 152) ZOEZI LA UGAWAJI MABEGI YENYE VIFAA VYA SHULE ALILISIMAMIA MWENYEWE FLAVIANA MATATAFlavian matata foundation-kisarawe (119 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (122 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (123 of 152)Flavian matata foundation-kisarawe (125 of 152)     HII NI SHULE YA MSINGI KIMANZICHANA, MBALIA NA KUGAWA SCHOOLKIT ,AMBAYO ILIHUSISHA BEGI LENYE MADAFTARI 12, MKEBE,PEN NA PENSELI, PILA FLAVIANA MATATA FOUNDATION PIA LIMEGUNDUA KUNA UMUHIMU KWA WANAFUNZI HAWA KUPATIWA UNIFORM, SABABU WENGINE HAWANA VIATU, WENGINE SARE ZA SHULE WANAVAA PAPA NA NGURU...HIVYO WADAU NA SEKTA MBALIMBALI MNAWEZA KUTUMIA HII FURSA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA ILI KUWEZA KUPUNGUZA KAMA SI KUTOKOMEZA KABISA HILI TATIZO NA KUFANIKISHA ELIMU BORA KWA WATOTO WETU, HASA HASA WALIO PEMBEZONIFlavian matata foundation-kisarawe (136 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (137 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (138 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (139 of 152)
MIFUKO MINGI NI YA RAMBO (MIFUKO YA PLASTI Lol ) HIVI HII MIFUKO ILIITWA RAMBO KUTOKANA NA ILE YA ZAMANI KUWA INACHORWA PICHA YA YULE MUIGIZA SINEMA AU NDO JINA LAKE ?
Flavian matata foundation-kisarawe (140 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (141 of 152) Flavian matata foundation-kisarawe (142 of 152)  
UNAWEZA ONA WENGINE WAKO PEKU NA WENGINE WAKIWA NA YEBO YEBO NA UNIFORM CHAKAVU.....KUNA UMUHIMU WA KUSAIDIA HILI
NA SIKU YA JUMATATU TULIMALIZIA WILAYA YA BAGAMOYO KATIKA SHULE YA MSINUNE
Flavianamatata msinune primary flavianamatatamsinune
IMG_0322 IMG_0328 IMG_0331 IMG_0338 IMG_0339
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHEN WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU, KUNA AMBAYO YATASAMBAZWA MIKOANI, AMBAYO YAMECHANGIWA NA RUSSEL SIMON MAARUFU KAMA ANCLE RUSH AMBAYO YATAENDA MIKOANI NA ZOEZI HILI LITAENDELEA TENA MWEZI YA JULAI PINDI SHULE ZITAKAPOFUNGULIWA TENA

0 comments:

Post a Comment