Maisha Plus is Back!!


Zimebaki siku 9 tu za kujaza fomu ya ushiriki.

1. Kijana wa Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda mwenye umri wa kati ya miaka 21 - 26, jaza fomu ya kushiriki shindano la Maisha Plus moja kwa moja mtandaoni kwa kubofya hapa
--> http://maishaplus.tv/MaishaPlusFomu2014.html

2. Kama wewe ni mkulima mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Tanzania ama unamfahamu yeyote, jaza fomu moja kwa moja kwa kubofya hapa --> 
http://maishaplus.tv/MamaShujaaFomu2014.html

Tunawatakia kila la Kheri.

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment