Tressa Professional Hair Product Launched in Mwanza


Meneja masoko wa bidhaa za TreSSa, Manoj Kumar akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Goldcrest jijini Mwanza jana.  Kulia ni Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey

Balozi wa TreSSa, Eligiva Meena akipozi na kuonesha unywele wake ulivyo stawi.
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akielezea furaha yake ya ujio wa bidhaa hiyo jijini Mwanza na namna itakavyoongeza ajira ya vijana hasa watoto wakike watakao kua wakiiuza.
Johan Vanden Heevevol akitoa maelezo ya bidhaa ya TreSSa.
Waalikwa wakifuatilia maelezo ya bidhaa hiyo ya TreSSa
Mwana dada Olever Nazareth mkazi wa malimbe jijini Mwanza akiwekwa dawa ya TreSSa na mhudumu wa salon.
Olever Nazareth akionesha vile unywele wake unavyomeremeta baada ya kutumia dawa ya TreSSa.
Olever Nazareth (kushoto) akiwa na Aziza Ismail kutoka Chuo Kikuu cha St Augustino (SAUT) cha jijini Mwanza baada ya kusetiwa nywele zao na dawa ya TreSSa.
Zawadi zilitolewa kwa washindi wa bahati nasibu.
Msanii Sara Kaisi 'Shaa' akitoa burudani ya sugua gaga ukumbini.
Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Mwanza.
Story and Images by Father Kidevu Blog...Thank you Mroki for sharing this..
Wanawake tushindwe wenyewe tu sasa...Bidhaa bora ndio hizoooo

The event and Deco was all done by Mustafa Hassanali and his Team

xoxo                   
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment