Divas Party Gala-Jumapili,May 11Ni Shughuli ya wanawake,Shughuli inayohusiana na Mahusiano kwa Wanawake-wana ndoaa, wanaotarajia kuolewa!

-Inatukumbusha na kutuwezesha kujua mambo gani muhimu tunayoweza simamia kama 
Wanawake kwa ujumla, Ukiwa kama Mama, Dada  katika jamii inayotuzunguka.

-Inatupa dondosoo na njia za jinsi gani ya kuwezeshaa na kusimama kama mwanamkee katika nyumba na jamii yako

-Kutakuwa na miongozo ya jinsi ya kukabiliana na changamoto zinazomzunguka mwanamke katika jamii

TIKETI ZINAPATIKANA;
KUPITIA NAMBA HIZI- 0788 466252 AU 0719 500882

--Kwa Kila Tiket ni Tzs. 40,000- Ikiwemoo Chakula na Vinywaji (Soft Drinks)

--Na Kwa Atakayechukua Meza ya watu 10- Bei Itakuwa 375, 000/- Tshs Badala ya 400,000/- Tshs.

Karibuni-Tushereheke, Tujifunze, Tujikumbushe, na  Tufurahi

Mc na Wasemaji watakuwa....

Mc Mamisa Chuma
Mc. Irene Mbowe,
Bi, Hindu,  na 
Mama Mc Dunia

Hii si ya Kukosaaaa...

Karibuni Nyote

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment