Happy Birthday Shyrose Bhanji!

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).
 Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...
 Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee wakimlisha keki kwa pamoja Shy-Rose.
 Shy-Rose nae aliwalisha marafiki zake ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee
 Shy-Rose pia alilishwa keki na ndugu zake.
 Alipokea zawadi kutoka kwa ndugu
  
Keki zilendelea 
 Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake.
 Shy-Rose Bhanji a.ak.a Mbunge wa Afrika Mashariki akila pozi na marafiki zake Halima Mdee a.k.a Mbunge wa Mujini na Ester Bulaya a.k.a Mbunge wa Kijijini .....ndivyo utani wao ulivyokuwa wakitaniana.

Story and images by Mroki Mroki (Father Kidevu)

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment