JOB OPPORTUNITY- StationaryNafasi ya kazi – Stationery

Mmoja wa wadau wakubwa wa M.P blog  anakaribisha maombi kwa mtu mwenye sifa na uzoefu wa kazi za Stationery – Secretarial Services na Internet Café. Ofisi  ipo Kinondoni Dar es Salaam, Tanzania.

Sifa / Vigezo vya mwombaji wa nafasi hii ni kama ifuatavyo:-
  • ·         Mwombaji awe ni mzoefu wa kazi si chini ya miaka miwili.
  • ·         Uwezo mkubwa wa kutumia Microsoft office (Ms. Word, Excel, Power Point, Publisher )
  • ·         Ujuzi wa ku-design invitation cards.
  • ·         Typing speed iwe nzuri.
  • ·         Ujuzi wa kutumia scanner, photocopy, binding na paper cutter.
  •  
  • ·         Sifa za ziada: Ujuzi wa kutumia program za Adobe illustrator and Adobe design.

Je una sifa zilizotajwa hapo juu? Then tuma CV yako kwa email: bminded3@gmail.com kabla ya tarehe 17 January 2015.

Nafasi ni moja tu wasichana wanashauriwa zaidi kutuma maombi. Kiwango cha mshahara ni makubaliano.Grab the opportunity NOW! Thank me,later


xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment