FIVE Days Left for 5 Million worth of a Win!

Have you sent inyour application yet?!
Zimebaki siku 5 tu kumpendekeza Mama, Mke, Dada, Bibi, Shangazi, rafiki, mkulima mwanamke mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ashinde vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5.

Mpe zawadi ya mwaka kwa kubofya hapa https://www.surveymonkey.com/s/growtanzania na kujaza sehemu zote.


Fahamu zaidi kuhusu shindano kwa kuandika barua pepe kwendaGrowTanzania@oxfam.org.uk

Wekeza Kwa Wakulima Wadogo Wanawake. Inalipa.

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment