Mwezi Novemba ni mwezi wa ugonjwa wa Kisukari ( diabetes)
Kwa mujibu wa kalenda ya afya ,
Kwa kuzingatia Hilo hospitali ya Doctors plaza (MOROCO BRANCH ) ikishirikiana na Lancet Laboratories tuna punguzo la vipimo kwa wataopenda kufanya check up ya ugonjwa wa kisukari.
Kuanzia Novemba 30 hadi Desemba 7
xoxo
Missie Popular