Who Wins Oxfam's 5Million?


Lile shindano la Mpendekeze ashinde vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni Tano leo linafikia tamati. Tumepokea mapendekezo mengi na watano hawa wameibuka kidedea. Ni zamu yako sasa kuwapigia kura ili apatikane mshindi wa shindano la mama shujaa wa chakula mtandaoni.. 
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula mtandaoni linaendeshwa na balozi wa kampeni ya GROW, Mwanawavuti, Shamim Mwasha.  Kampeni hii ilianza mwaka 2011 na inatarajiwa kumalizika mwaka 2015. 

GROW inalenga kuhakikisha kuwa kila mtu ana chakula cha kutosha kila siku “everyone has enough to eat always”.

Kampeni ya GROW inaendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam.

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment