Ni Shughuli ya wanawake,Shughuli inayohusiana na Mahusiano kwa Wanawake-wana ndoaa, wanaotarajia kuolewa!
-Inatukumbusha na kutuwezesha kujua mambo gani muhimu tunayoweza simamia kama
Wanawake kwa ujumla, Ukiwa kama Mama, Dada katika jamii inayotuzunguka.
-Inatupa dondosoo na njia za jinsi gani ya kuwezeshaa na kusimama kama mwanamkee katika nyumba na jamii yako
-Kutakuwa na miongozo ya jinsi ya kukabiliana na changamoto zinazomzunguka mwanamke katika jamii

TIKETI ZINAPATIKANA;
KUPITIA NAMBA HIZI- 0788 466252 AU 0719 500882
--Kwa Kila Tiket ni Tzs. 40,000- Ikiwemoo Chakula na Vinywaji (Soft Drinks)
--Na Kwa Atakayechukua Meza ya watu 10- Bei Itakuwa 375, 000/- Tshs Badala ya 400,000/- Tshs.
Karibuni-Tushereheke, Tujifunze, Tujikumbushe, na Tufurahi
Karibuni-Tushereheke, Tujifunze, Tujikumbushe, na Tufurahi
Mc na Wasemaji watakuwa....
Mc Mamisa Chuma
Mc Mamisa Chuma
Mc. Irene Mbowe,
Bi, Hindu, na
Mama Mc Dunia
Hii si ya Kukosaaaa...
Karibuni NyoteBi, Hindu, na
Mama Mc Dunia
Hii si ya Kukosaaaa...
xoxo
Missie Popular
0 comments:
Post a Comment