Flaviana Matata Foundation Holds Prayer for MV Bukoba Victims

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA  NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO  IGOMA JIJINI MWANZA
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU  TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA IBADA  IYO PAMOJA NA NDUGU ,JAMAA NA MARAFIKI SAMBAMBA NA FAMILIA ZA WAFIWA.
flavian31
flavian 19

 IMG_5925
TEAM ZALENDO TANZANIA WALIKUWAJA RASMI NA T-SHIRT ZAO ZA HATUTASAHAU MAY 21IMG_5937
 MUANZILISHI WA ZALENDO TANZANIA MIRAJI KIKWETE NAE ALIKUWEPO NA TEAM YAKE NZIMA IMG_5948
IDRISSA, MWANAFA , AY NAO WALIKUWEPO ZALENDO TANZANIA

 flavian33

 flavian27

 flavian30

 flavian23

 flavian25

 flavian28

 flavian29  

flavian22

 flavian20

 flavian21

 flavian34

 flavian26

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment