Catch Supermodel Flaviana Matata on the Mboni Show

Mwanamitindo wakimataifa Flaviana Matata ambaye anafanyia shughuli zake nchini Marekani , leo alikuwa kwenye kipindi cha Runinga cha The Mboni Show kama mgeni mwalikwa akiiwakilisha PSPF akiwa mmoja wa Balozi wa PSPF akiwakilisha DIASPORA.
Akiwa kwenye kipindi hicho sambamba na mwanadada Mboni Masimba alizungumzia masuala mbalimbali ikiwepo maisha ,familia sambamba na kazi zake kama balozi wa PSPF  ndani na nje ya nchi.
PSPF ni wadhamini wa kuu wa The Mboni Show .
aflaviana matata akihojiwa na thembonishow-10flaviana matata akihojiwa na thembonishow flaviana matata akihojiwa na thembonishow-2 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-3  flaviana matata akihojiwa na thembonishow-9 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-6 flaviana matata akihojiwa na thembonishow-7
flaviana matata akihojiwa na thembonishow-18
mara baada ya show hadhira iliyokuwepo ilijiandikisha katika mpango wa kuchangia kwa hiari wa mfuko huu wa PSPF , Ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga na mfungo huo ambao zaidi ya kupata mafao pia unaweza kukuwezesha kununua  nyumba /viwanja / mkopo kwa wajasiriamali /wa elimu na mengi mengineyo.
flaviana matata akihojiwa na thembonishow-19

flaviana matata akihojiwa na thembonishow-16
ONJA RED CARPET .....kiduuuuchu

Story by Shamim of 8020fashions

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment