And we Have Proof!! Sheria Ngowi Vs Jacqueline's Fundi Vs Vera Wang

This has been an interesting story...full of drama!! So,after Jacqueline Mafuru's kitchen party...
 This dress started lots of talk in social media! Stylist Rio Paul alerted me about the saga and i did a followup.....
 And i discovered that,the talk was about the design being identical to Sheria Ngowi's design worn by Mwamvita Makamba at Miss Tanzania 2011 event....BUT this was purchased from China! So,i found a reliable source and enquire if it's true....and Haki Ngowi,Vice President of Sheria Ngowi Designs confirmed that, "Wameibaaaa" from Sheria's design!!
After my post....many of Jacque's friends sent their rather ANGRY comments and I asked for just one thing....SEND ME THE PICTURE OF THE VERA WANG DESIGN, from China...if you believe this is NOT a Sheria Ngowi Design!!.... And THEY DID!!! Thanks to Mercy who went to the shop in China and took this picture...
Need I say more??!! Bhaaasi! It's confirmed...the design by Jacqueline Mafuru was NOT a copy of Sheria Ngowi's design BUT a dress bought in China...
.......where so many other can be purchased!! However,I can not prove if this is a Vera Wang Design until I see the actual Vera Wang or a tag on the dress that confirms it.
About the rest,well...you can figure that by yourself, have we been fooled?!

xoxo
Missie Popular

35 comments:

  1. Watu wameumbuka mjini. SAFI SANA!

    ReplyDelete
    Replies
    1. siamini macho yangu masifa yote yale niliyompa Sheria kumbe ni mleta mzigo tu kutoka China? wabongo mnawazidi wanaija punguzeni kidogo mambo utandawazi mtaumbuka sana tu

      Delete
  2. Ha ha ha aibuuu designer bongo hamna lolote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bongo kuna makundi mawaili ya ulimbwende wa fashion la kwanza ni mafundi cherehani, na pili wamiliki wa Boutiq (wanatoa mizigo china na kwingineko) sheria anaangukia kundi gani wadau?

      Delete
  3. BIIIIIIIIIIIIIG TIIIIIIME....hahahahha jamani mjini hapa hamu sina...

    ReplyDelete
  4. He could have designed it too! After all it was last year so I stick by Sheria even these big designers copy and just because thye're big they think they can get away with it. Ukiangalia ni wachina hao ambao ni hodari wa kucopy kazi za watu. So there could be a big issue here. Nguo imekaa one whole year ndo wenyewe wautoe how come? I so doubt this Vera Wang thing.

    ReplyDelete
  5. Tujue Vera Wang ametoa lini hiyo staili na Haki Ngowi Katoa lini. Ubishi kwisha.

    ReplyDelete
  6. Peple don't be stupid sheria went to china bought just like everybody else then act as if he made it mbona after mwamy hatujaona ka design kitu kingine so please don't be fooled twise.

    ReplyDelete
  7. SHAME SHERIA SHAMEEE!!! jamani kuna tofauti kati ya a designer and a stylist !!!!!
    sheria chek ur dictionary my dear and diffrentiate the 2, and know where u stand !! cheerz

    ReplyDelete
    Replies
    1. best comment iv seen on this issue !!!!! this is SAD BUT TRUE ......... SHERIA aibu ya mwaka kajipange tena mzazi.. na bora usingewek on twitter ha haha ha ahhah

      Delete
    2. fundi Ali KariakooJuly 12, 2012 at 9:01 PM

      naunga mkono best comment and best topic ever!ulimi kiuongo kidogo matatizo yake makubwa angejikalia kimya wananchi tusingeyajua haya

      Delete
  8. Sheria aongee kusafisha hali ya hewa au abakie kimya kama jibu hakuna. Missie uko juu katika kurekebisha ujinga, umeonyesha Watanzania hatudanganyiki na hatuna kumbukumbu fupi. Mabusu kwako

    ReplyDelete
  9. Yaan misie umenifurahishaje na hii kitu? watu wameumbukaje japokuwa mie si mashoga wa hao wote wawili ukweli umejulikana.
    I'm number one fan of your blog.CHEERS!!

    ReplyDelete
  10. Am down to the comment of Anony 5:12!summarized all of em!siku bongo mtu akiwa na duka la nguo tu designer!!wtf!!

    ReplyDelete
  11. Na wewe mp kuwananga wenzio utasema wewe unajielewa.

    ReplyDelete
  12. Kha! Mijini shule. Kumbe unaweza nunua nguo za H & M ukatoa lebo ukaweka jina lako afu uka claim kuwa ume design. But why? Si mtu afungue tu duka la kuuza nguo toka nje kwani hatutanunua mpaka tudanganyane kuwa wameumiza vichwa ku design????

    ReplyDelete
  13. Jamani hii nguo ni ya Sheria kwani Vera nani yeye asiige? Kwanza hata CL anashitakiwa kwa kuiga kazi za wenzake kujidai sole nyekundu yake wakati YSL alianza kitambo kapeleka case kuwashtaki kashushukaje. So kuna posibility kubwa Vera au hao wachina wameiba design ya Sheria. I will tand by Sheria mpaka mwisho. Tatizo wabongo tunapenda tu kushadadia vitu bila kufikira na pia tunajishusha thamani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo unashadadia bila kujua? designer bongo? give me a break..nipishe

      Delete
    2. designer bongo...yes...tupo na wapo.... ila wenye kutafuta makuu nao pia wapo... wachina nao hukopi... nasi pia tunacopy ila hii ya copy paste...si njema hence kujua nani mwenye hati miliki ni vizuri

      Delete
  14. Oohhh my God.... God mercy u " sheria ngowi". Your very welcome in USA to get some more knowledge on design so that you can be professional not unprofessional. We have a lot of colleges over here " college of fashion" , I hope it will help you to not be " copy and paste" designer.

    ReplyDelete
  15. Spice Islander imeleta mambo watu kukumbuka. Wakati wengine walikuwa wanalia kwa kupoteza familia na marafiki, wengine walikuwa wanafurahia na kudanganya watanzania kuhusu mitindo. MV Bukoba ilipewa umuhimu wa kitaifa lakini MV Spice ilidharaulika kwa sababu wengi walikuwa Waislamu? Ubaguzi ule bado unakera. Hawa waongo waumbue Missie.

    ReplyDelete
  16. miriam acha kushadadia bas, hw can vera wang copy from sheria, like seriously? tukubaliane tu ww na mashost zako mmeumbuka bn, athawise mnajichora tu kwa social networks. guys grow up! stl jacque yko juu.

    ReplyDelete
  17. Vera to copy Sheria Ngowi hahahaha she must have been so desparate, seriously guys do you think before even commenting?????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wasamehe hao hawamjui vera wang ni nani.lol.poyeeee

      Delete
  18. so Vera Wang to go and copy all the details from Sherias dress asibadilishe hata kidogo? eti Sheria designed the dress first,that joke is on you

    ReplyDelete
  19. Hao wachina waliweza kutoa copy ya nguo ya harusi ya Kate Middleton within days ndio watashindwa kucopy hiyo ya Sheria? Kwanza inawezekana pia Wabongo wenyewe mmepeleka picha mtengenezewe huko kama ambavyo mnavyopeleka catalogue za Italy na USA kutengenezewa nguo, mapochi na viatu tena mnawekewa na label pia. Kisha mnaenda kubeba US na UK nguo mbili tatu za kuchanganyia mnaweka kwenye maboutiki yenu yenye majina na mabei ya kutisha.

    The dress is not Vera Wang huo ulikuwa ni ujiko tu na kutambiana kwa macelebrities wabongo kuwa kama yako ya Sheria basi yangu ya Vera Wang.

    The Chinese are very good at copying wewe peleka tu picha yako watakuletea copy exactly. Ingekuwa vizuri tukajua ni design ya nani hii nguo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. tusubiri kusikia CL za china, mwammy mwaya kadai pesa yako

      Delete
  20. Kama wachina wamecopy kwa Sheria mbona mmemrahishia kaka wa watu utajiri? All he need to do is to make a follow up and a claim anaweza kujipatia % yake hapo.

    Kuna dada aliendaga Bangkok akawa anafanya shopping huko anasema nguo bei rahisi wacha wadada waanze kuponda eti nguo gani, kumbe na wao hawanunui Marekani na UK wananunua China!! Hahahaaaa kweli hili saga limetufumbua macho mambo yote ni huko Asia, (Bombay, Hongkong, na Bangkok).

    ReplyDelete
  21. Huyu mtu anayemtetea sheria humu nadhani atakua ni yeye anaandika hizo comments au kaka yake. maana naona hafikirii kabla ya kucomment. Au rather hana sense of reasoning na common sense!!!

    ReplyDelete
  22. kama mahakamani vile leta ushahidi umemwagwa humu puuu kesi closed mamimto nawe unayaweza

    ReplyDelete
  23. nilipoona kwa mara ya kwanza kwa Mwammy nilijua udesigner wanaosema ni ule wa kaona mshono kwenye catalog katafuta kitambaa ameshona kumbe kenda inunua China kama ilivyo hajajaribu hata kufumua nyuzi?

    ReplyDelete
  24. naye huyo jack kulikuwa na ulazima gani kuvaa the same thing? mashindano mengine bwana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama kaipenda? unaiga mazuri amenogajee

      Delete
  25. sahihisho kidogo DRESSED BY SHERIA NOT DESIGNED BY SHERIA samahani unajua dressed na designed haya maneno yanafanana sana

    ReplyDelete
  26. Mbona nimemgoogle huyo vera wang nimekuta collections zake ni za kawaida sana, na hazifananii hata ile nguo, mi naamini vyote vyawezekana, Vera kucopy na hata Sheria pia kukopy.Nothing to be trusted.

    ReplyDelete