Punguzo la Eid - Mitumba Grade A from Canada

Mwezi mtukufu wa Ramadhan, umebakiza takribani majuma mawili tu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri tayari yameshaanza. Eid huwa ni wakati wa furaha na mara nyingi huenda sambamba na kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki kufurahi na kutukuza yale yote aliyotujalia Mwenyezi Mungu. Palipo na mkusanyiko wa watu, huwa pia pana "mtoko". Kila binadamu hupenda kupendeza. Wenzetu wa jinsia ya kike,hupenda sio tu kupendeza bali pia kusifiwa kwamba "wamependeza". Kupendeza, kwa bahati mbaya, hakutokei kama ajali. Kunahitaji maandalizi. Sharti manunuzi yafanyike. Ili nisije onekana mwenye choyo, napenda kukushirikisha katika hili. Kuna punguzo maalumu kabisa kuelekea sikukuu ya Eid-El-Fitri. Punguzo la nini? Tizama hapa chini. Soma.Usiache kumwambia na mwenzio. Mitumba Bei Rahisi,Jumla na Rejareja Tanzania

Thank me Later...

xoxo
Missie Popular

0 comments:

Post a Comment