Khadija Mwanamboka partners with Sense International for a Great Cause

Pictured – at the Tanzanian Embassy in London, Khadija Mwanamboka stands in the centre, with Sense International Director Alison Marshall, far right.

(14 September 2017 - London, UK) : 
Fashion designer and Sense International
Goodwill Ambassador for Tanzania, Khadija Mwanamboka, was at a special event in
London yesterday evening, to launch her new children’s clothing range: the ‘Pendeza
Kids Collection’, with proceeds going to Sense International.
Khadija used the opportunity, before a select audience at the Tanzanian Embassy, to talk
about the vital work that Sense International does in Tanzania to support children and
adults with deafblindness.

Khadija Mwanamboka said:
“I believe that every child has the right to be nurtured and supported to grow up and
develop, regardless of their disability.
This is an opportunity for fashion to contribute to something very meaningful and life
changing. I ask you to join me in my mission and support Sense International Tanzania’s
work.”

The clothing range will be sold in Dar es Salaam and Zanzibar, and will also be available
to purchase online www.khadijamwanamboka.comAbout Sense International:
Sense International is a global charity supporting people with deafblindness in
Bangladesh, India, Nepal, Kenya, Tanzania, Peru, Romania and Uganda. We are one of
the world’s leading international organisations working for people with deafblindness and
their families. Further information can be found on Sense International’s website:
About Deafblindness:
Deafblindness is a combination of both sight and hearing difficulties. Some of these
people are completely deaf and blind, but others have some remaining use of one or both
senses.


Many congrats to Khadija Mwanamboka for always being in the forefront to help disadvantaged kids. We appreciate you!

xoxo
Missie Popular

Blogger Tupokigwe kuzinduwa Kitabu cha "Mapenzi Kaburini"Tupokigwe Abnery Mwampondele amezaliwa,Seronera - Serengeti mkoani Mara.Alisomea shahada ya Isimu ya lugha ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwa sasa ni mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule ya Sekondari ya Wasichana Precious blood iliyopo mkoani Arusha-Tanzania. N’je na kazi ya uwalimu Tupokigwe Abnery ni mtunzi wa vitabu vya hadithi, mbunifu wa mavazi ya kiasili, mjasiriamali na mwandishi wa gazeti tando (blogger) inayoitwa Sinyati Blog.

Tupokigwe Abnery alikuwa na kawaida ya kupenda kujibembeleza au kujifariji akiwa anatembea kwa kutengeneza hadithi katika fikra zake ili kuweza kulala au kufika anakoelekea bila kuchoka,ndipo siku moja baada ya kushiriki shindano la uandishi wa Riwaya fupi kwa wanafunzi wa shule ya msingi,sekondari na vyuo vikuu Tanzania kwa ajili ya Tuzo ya mama Salma Kikwete iliyoandaliwa na TASAKI(Tamasha la Sauti ya Kiswahili) aliibuka mshindi wa pili wa riwaya fupi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania.Hivyo hiki kitabu ni muendelezo wa Riwaya aliyopatia Tuzo.Soma kitabu hiki uweze kujionea ubunifu wa hali ya juu wa fani pamoja na mshikamano wa maudhui uliyopo ndani ya kitabu hiki.Mapenzi Kaburini ni kitabu chenye mtazamo yakinifu,ni kitabu ambacho maudhui yake yamezitazama nchi za Afrika Mashariki na changamoto zilizopo katika nchi kwa upande wa viongozi pamoja na wananchi.Kimebeba maudhui yanayowalenga wananchi wote bila kujali utabaka.Kwa upande wa fani kimetumia majina ya halisi na kubuni hasa kwa upande wa maeneo ya miji mfano kuna miji kama Kinyonga,kupe,chatu ambayo ni majina yaliyopo katika nchi ya Simba.Nchi hii ya Simba ni nchi inayosimamia nchi zilizopo Afrika Mashariki.Mbali na hilo pia visa na matukio vimepewa majina ya hifadhi za Taifa zilizopo katika nchi ya Tanzania.Mfano hifadhi ya Ruaha,Sanane,Manyara na kitulo kama ukisoma kitabu hiki utagundua kuwa sifa ya hifadhi inaendana na visa na matukio yaliyopo katika sehemu hiyo iliyoandikwa kwa jina la hifadhi.Mfano hifadhi ya Kitulo inasifika kwa kuwa na maua,kama tujuavyo maua huashiria sifa nyingi moja wapo hapo ni upendo,watu wengi hutumia maua katika kuwapa wapenzi wao,mfano kuomba msamaha,kumfariji mtu,hata kuonesha upendo kwa mtu unayempenda.


Utakaposoma kitabu hiki utaburudika na kufundishwa baadhi ya mambo kama Kukuza imani yako kwa Mungu,uaminifu katika ndoa,uzalendo katika nchi yako na Madhara ya kujihusisha katika mahusiano na mtu usiye mjua.
Nitakupatia kionjo kidogo katika sura ya kwanza ili kuweza kuona mwanzo tu wa hadithi hii ambayo hutapenda kuacha kuifuatilia:


Sura ya kwanza
Hifadhi ya Sanane
Ilikuwa siku ya Jumatatu katika ghorofa la tajiri mmoja, mmiliki wa hoteli maarufu katika nchi ya Simba. Tajiri huyo alifahamika sana kwa kuwa alikuwa akijitolea sana kwa wananchi wasiojiweza, katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.Watu husemamfadhili punda kuliko mwanadamu vilevile tenda wema kisha nenda zako baraka utazipata kwa Mungu,usisubiri hisani za wanadamu.
Pamoja na misaada aliyoitoa kwa watu mbalimbali lakini wananchi wa Simba hawakujali misaada yake, walimteta kila kona kuwa anatumia nguvu za giza na amekwisha toa kafara ndugu, jamaa na hata watoto wake ili kujipatia utajiri mkubwa alionao. Siku hiyo ya Jumatatu katika pagala la tajiri huyo aliyefamika kwa jina la Pesa nyingi.
katika moja ya chumba cha ghorofa hilo kulikuwa na mwanamke mrembo na mzuri sana wa sura, mrefu mithili ya twiga, mwenye umbo zuri la kiafrika, chini alikuwa amevaa suruali ya chupa huku akiwa amevaa blauzi tatu juu zenye rangi tofauti na nywele timutimu zikiwa zime nakishiwa na vitu vya jaani kama vichana,visude, rasta chakavu na kufungwa kitambaa cha kitenge aina ya makenzi ,uso wake ulikuwa kama paka mwenye madoa kutokana na kujipamba kwa majivu na masizi ya mkaa wa jaani. Pembeni ya ua hilo alikuwepo mnyama mwenye maringo

mbugani kuliko wote, sio mwingine bali ni kijana mtanashati aliyekwenda hewaani, rangi ya ngozi yake nyeusi ya kung’aa. Tabasamu la mwanaume huyo lililokuwa likimfariji mtoto mzuri, lili mvutia sana Savannah. Ghafla ilisikika sauti ya mwanamke huyo ikiita kwa sauti ya chini iliyojaaa simanzi na mateso ya muda mrefu,ilisema “John naumia mume wangu, hali yangu kila kukicha afadhali ya jana”.
John alijibu “usijali Savannah nipo hapa mke wangu kwa ajili yako utapona tu tutakwenda hospitali,subiri nikuandalie chakula ule, kisha nikupeleke hospitali malikia wangu”. Basi baada ya John kumfariji Savannah aliamka na kuelekea jikoni pembeni ya sehemu aliyokuwa amelala mpenzi wake. Watu hawa walipendana sana ni vile tu hali yao haikuwa nzuri kifedha waliishi kwa kuhangaika, kuomba msaada na wakati mwingine walifukuzwa na walimwengu pale walipokuwa wakiomba msaada, watu waliwapita kama mbwa waliokosa matunzo.
Wapenzi hao Walizoea maisha ya kuokota vyakula jalalani na kukimbilia magari ya taka sambamba na kusubiria mabaki ya chakula katika migahawa mbalimbali. Wakati huo John alikuwa akitimiza ahadi aliyo mhahidi malikia wake alimuandalia chakula walicho kiokota katika soko kuu la mji huo wa Chatu. John alimuinua Savannah pale alipokuwa amelala kwenye kanga chakavu akiwa amejifunika magunia yalionekana ni ya mpunga. John alimlisha Savannah chakula kile ambacho hawakujua kilipikwa lini na kutupwa na nani na lini. Savannah alisikika akisema “asante mume wangu hata

mwanangu anafurahi sasa naona napata nafuu, nahisi ni njaa ilikuwa inaniuma”. Mwanangu nisamehe mama kakushindisha njaa, nakupenda sana najua wewe utakuwa mrembo zaidi yangu mwanangu hata baba yako anakupenda”. John alikuwa anapenda sana utani alicheka na kusema “atakuwa mrembo kama wewe kweli mke wangu lakini rangi ya ngozi yake itakuwa kama yangu, yako iko kama ya nguruwe hahahaaaa!” Savannah alikuwa mweupe kama Nguruwe, ingawa alivyokuwa anaonekana ni kama mtu mwenye ngozi ya rangi ya maji ya kunde kutokana na ugumu wa maisha.
Wawili hao walifurahi pamoja na kusahau shida walizokuwa nazo.Walipomaliza kula wapenzi hao waliamua kutoka nje baada ya kukaa ndani ya paghala hilo kwa muda wa wiki moja, Dikidiki hao walikuwa na kaida ya kufanya hivyo wanapotafuta riziki na kujilimbikizia ndani ya paghala lao kisha wana kaa kwa muda huo bila kutoka. Usilolijua ni kama usiku wa kiza, basi Savannah na John walipotoka wakiwa n’je ya mgahawa mmoja uliokuwa unapendwa sana na wananchi wa mji huo wa Chatu zilisikika sauti za wanawake wakisema:
“haya jamani sasa ni ule wakati wa Pesa nyingi kuingiza hela sasa wenzi wametoka fungate”. Waliamini kuwa Pesa nyingi alikuwa anawatumia Dikidiki hao kama misukule inayotoka na kurudi ndani na wanapotoka basi mzee Pesa nyingi huingiza hela nyingi sana. Kwakuwa wenzi hao walikuwa hawaelewi kinachoongelewa waliendelea kuomba msaada kwa wateja waliokuwepo hapo mgahawani. Wanapokosa waliamua kucheza baadhi ya nyimbo zilizokuwa

zikipigwa katika mgahawa huo, wakicheza hupewa chakula na fedha ambazo hutoka katika mifuko ya wateja. John alikuwa anapenda sana kucheza,wakiwa wamekaa chini walisikia wimbo wa mwanamuziki maarufu Tanzania Diamond unaosema Je, Utanipendaga? John alimuinua Savannah aliyeonekana kachoka na mimba yake. Savannah aliamka na kucheza na mpenzi wake ,walicheza kwa miondoko ya kihindi, machozi yalisafisha uso wa Savannah huku yakiosha kifua cha John kilichokuwa kimejaa kama mlima na mikono iliyokuwa na miinuko ya kupanda na kushuka ilizunguka juu ya kifua cha Savannah na kumfanya ahisi kazungukwa na jeshi kubwa la malaika wa ulinzi.
Baada ya kumaliza kucheza savannah alikuwa amechoka sana, kitendo cha kucheza kilimsababishia kuchokoza maumivu na kupelekea kupata uchungu katika kizazi chake. Baada ya kuona hivyo John aliinama na kuchukua zawadi walizozipata kutoka kwa hadhira iliyokuwa ikiwatazama huku baadhi ya hadhira wakibubujikwa na machozi walimpelekea hela na chakula John katika kapu lake la kukusanyia riziki. Watu waliokuwa wakiwatazama Savannah na John hawakujali maumivu ya mwanamke yule na kuona kawaida.
Wapo waliosikika wakisema hawa vichaa wana akili, wengine walisema hawa si vichaa, vichaa gani wana akili ya kutafuta hela hivi, wamekusanya umati mkubwa hivi na kuwafanya watu kutoa kile walichonacho. Mama mmoja mwenye busara anayeuza katika mgahawa huo aliyefahamika kwa jina la mama ndaga akasema“Jamani mimi nawafahamu hawa vichaa kwanza hawakuwa wakitembea hivi pamoja kama Dikidiki, huyo kaka unayemuona alikuwa..........pata mwendelezo kwa kujipatia kitabu hiki.Nicheki kwa mawasiliano haya:+255756377940
Instagram: @sinyatiblog
Facebook:Tupokigwe Abnery 


Au Blog yake : www.sinyatiblog.blospot.com 

Vlog: Majibu ya Maswali Kutoka Instagramxoxo
Missie Popular

Lulu MUTULI & Azra WALJI impressed judges and earned a ticket to Africa’s largest fashion and design festival in Lagos


Lulu MUTULI and AZRA WALJI have reason to smile as they emerged tops at the maiden Heineken® Africa Inspired Fashion Challenge, a three day event built around creativity and innovation of East Africa’s finest fashion design talents.

Speaking as he announced the winners, HEINEKEN East Africa General Manager Uche UNIGWE termed the three day design challenge as an amazing experience for the brand, designers and the regional fashion industry at large.

Through our “open your world” Heineken® tagline noted Uche, we sought a co-creation opportunity for the regional fashion scene through an open-design challenge that saw over 100 portfolio reviews that were narrowed down to 10 participants from which the winners have emerged.

According to Uche, this experience has been an eye opener for HEINEKEN allowing us to share our expertise with the participants polishing their business and design skills and imparting the Heineken® way.
More importantly the 3 days’ session has allowed the participants develop critical networks and contacts to help them break their proverbial glass ceiling and elevate them to a world of endless possibilities.
 “Identifying and empowering talents remains a critical part of our global agenda and it is our hope that this exercise will help in developing and building capacity in the regional fashion and design space as we seek to create an African capsule collection to be incorporated into the global Heineken® apparel line” said Uche.

Diana OPOTI, key fashion influencer, which has been instrumental in gathering the fashion community around this challenge, confirmed ‘’it’s vital that where we can we create an environment to identify and nurture young creative talent.

This project is especially important in the way it’s been designed; for connecting designers to real work experience with the link to the Heineken® design team as well opening them up to the opportunity to showcase in the career defining, Lagos Fashion and Design Week in Nigeria.’’ Speaking at the event, Lagos Fashion and Design Week founder and judge at the event Omoyemi AKERELE, lauded the raw talent and creativity. “Indeed my expectations were exceeded especially given the young age of the designers that not only showed creativity and interest in learning but also possessed amazing business acumen that is needed to jumpstart the East African fashion scene”.

She added “I could see a lot of younger me in these designers and I am glad that through Heineken® I could become the mentor that I never had”. She added that through this 3 days’ immersive co-creating exercise, the journeys of all these young designers to limitless potential was set in motion.

The above sentiments were echoed by Global Director Heineken® Design Mark VAN ITERSON who on officiating the launch of the challenge noted the area of design and innovation creates the future and that creativity has the power to imagine and develop better solutions for a better world.”

 “As a designer I'm optimistic that blending different creative disciplines and people from different backgrounds, gives amazing inspiration; opening up to fresh ideas, opens up endless new opportunities” said Mark.
He added “At HEINEKEN we've always embraced this vision, and were eager to see how African fashion would inspire us, and vice versa, how we can add value to the creative scene in Africa. “ An elated Lulu MUTULI thanked the challenge organizers for the platform to learn and share their creativity and talent terming it as an amazing and priceless opportunity.

 “For us that speak through our creativity, being able to represent Africa’s voice for a global brand is a great honor in what we the participants hope will be the first of many honors and accolades that will emerge from this challenge.” The winners will depart in two weeks for Amsterdam to actualize their patterns and line with Heineken® design team and Amsterdam based design house LEW.

 The journey will culminate with a chance to showcase their collection at Africa’s largest fashion event- the Lagos Fashion and Design Week in end of October where their unique creation will be revealed and show-cased.

xoxo
Missie Popular

Vlog: Twende pamoja kwenye Launch of Sultan by Foremen/Viatu vya Idris

xoxo

Missie Popular

Idris Sultan set to Launch "Sultan by Foreman" this week

Are you Invited? It is Level 8,Hyatt Regency and my card just arrived! Super proud of Idris,can't wait to see this new brand of shoes,what an Eid feast for the Gentlemen :)

Pictures from the launch,coming next

xoxo
Missie Popular